Wa mwisho ndiyo mshindi

Letu jukwaa la wa mwisho ndio mshindi Lina raha sana tunajifunza misamiati mingi Na tunajuana bila ya kuonana ana Kwa ana.
Hivi Kwa nini wana sema "ana Kwa ana" badala ya uso Kwa uso?
Uso ni picha ya mbele..., Lakini "ana " ni neno la kiarabu yaani "mimi" Sasa ana kwa ana ni "mimi na wewe" tuonane livu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…