Wa mwisho ndiyo mshindi

Zitatamalaki hasa unapokuta huduma mbaya ndani ya hospitali, acha uchafu na msongamano wa wagonjwa.
 
Zitatamalaki hasa unapokuta huduma mbaya ndani ya hospitali, acha uchafu na msongamano wa wagonjwa.
Wagonjwa ni sisi wenyewe kwakuwa tumeridhia na hali halisi, yaleti tujifunze kudai haki za maisha bora !!!
 
Reactions: Auz
Upungufu wa wafanyakazi na vitendea kazi, wingi wa kazi, hupelekea watendaji kukata tamaa na kulipua ufanyaji kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…