Wa mwisho ndiyo mshindi

Lazima ukuharibu kama utafuata kila linalooneshwa au kuzungumziwa mtandaoni
 
Bidii ya mtu ni yeye mwenyewe, kupata na kukosa yote ni majaaliwa
Majaaliwa ni kudra au baraka za mwenyezi mungu.japo apa bongo tuna majaaliwa ambae ni waziri mkuu wa serikali ya Tanzania asie penda ujinga ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…