Wa mwisho ndiyo mshindi

Hivi visigongane inabidi kuwe na utaratibu sio kila mfugaji apeleke ng'ombe kulisha majani bila utaratibu unaweza kusababisha hifadhi zetu za wanyama pori kupotea
 
Mbaya ni mfumo tulionao, si endelevu wala wenye mtazamo wa baadae, matokeo yake tunaanza upya katika kila sekta kila siku badala ya kuendelea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…