goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,153
Unachozungumzia asubuhi hii kuhusu vinywaji vyenye flavour ya vanilla kuna juice,smoothie,ukinywa fresh zina taste nzuriKinywaji gani hasa unachozungumzia
Nzuri ukinywa maji ya motomoto glasi 4 asubuhi, itakuepusha na magonjwa kadha na kukupa kinga mwilini.....Unachozungumzia asubuhi hii kuhusu vinywaji vyenye flavour ya vanilla kuna juice,smoothie,ukinywa fresh zina taste nzuri
Kinga ya mwili ni kitu cha muhimu kukuepusha na maradhi hivyo hatuna budi kuzingatia lishe boraNzuri ukinywa maji ya motomoto glasi 4 asubuhi, itakuepusha na magonjwa kadha na kukupa kinga mwilini.....
Bora ulipotujuza hayo ili tuweze kuzingatia kula vyakula vyenye kutia afya !!!Kinga ya mwili ni kitu cha muhimu kukuepusha na maradhi hivyo hatuna budi kuzingatia lishe bora
Afya bora ni jambo la msingi kwa binadamuBora ulipotujuza hayo ili tuweze kuzingatia kula vyakula vyenye kutia afya !!!
Binadamu wengi wana mema kuliko wachache wenye maovu !!!Afya bora ni jambo la msingi kwa binadamu
Wenye maovu wakitubu Mungu huwasameheBinadamu wengi wana mema kuliko wachache wenye maovu !!!
Huwasamehe waliyo na ukweli moyoni mwao, mwenyezi Mungu hutambua kilichomo ndani ya mja wake.. na haangali sura ya mtu !!Wenye maovu wakitubu Mungu huwasamehe
Sura ya mtu angeangalia mbona ingekuwa tafraniHuwasamehe waliyo na ukweli moyoni mwao, mwenyezi Mungu hutambua kilichomo ndani ya mja wake.. na haangali sura ya mtu !!
Tafrani ni neno lenye maana nyingi sana.. Lakini waswahili hulitumia kwa uashiria mmoja tu!!Sura ya mtu angeangalia mbona ingekuwa tafrani
Mmoja ndo hujulikana tupe maana nyingineTafrani ni neno lenye maana nyingi sana.. Lakini waswahili hulitumia kwa uashiria mmoja tu!!
Nyingine ni Ufakiri, uzuzu, uchizi, ulofa, ukabwela na badom yapo kadha tufikapo mbele ntabaini...Mmoja ndo hujulikana tupe maana nyingine
Ntabaili yaliyojifichaNyingine ni Ufakiri, uzuzu, uchizi, ulofa, ukabwela na badom yapo kadha tufikapo mbele ntabaini...
Yaliyojificha ni mengi kuliko inavyofichwa pesa kwenye pochiNtabaili yaliyojificha
Pochi yangu imetuna Shem SupaM, siku tukionana twenda tukagawe swadaka huko mbagala..Yaliyojificha ni mengi kuliko inavyofichwa pesa kwenye pochi
Mbagala sehemu gani nami hiyo siku niwafuatePochi yangu imetuna Shem SupaM, siku tukionana twenda tukagawe swadaka huko mbagala..
Niwafuate na mimi nasikia wameenda kariakooMbaga sehemu gani nami hiyo siku niwafuate