Wa mwisho ndiyo mshindi

Kina Mbaraka Mwinshehe nyimbo zao hazichuji ndio maana kamtaja mtu aliyeanza kuimba miaka kumi kadhaa kuwa wa zamani
 
Kununua tuzo kunawapa umaarufu wa muda ila muziki mzuri hudumu daima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…