Sana sana wenye kawaida hiyo ni watoto wa kitaa kile ndo nawaonaga wakipiga chabo, ila wa huku kwetu hawanaga hizo.Huzuni na majonzi ni mitihani ya Mungu. Mungu ailaze maala pema roho ya marehemu Shangazi wa kubwa lao. Pole sana
Hizo za kupiga chabo na kuiba pilau na nyama kwenye harusi zinafanyika sana na watoto wa kitaaniSana sana wenye kawaida hiyo ni watoto wa kitaa kile ndo nawaonaga wakipiga chabo, ila wa huku kwetu hawanaga hizo.
Kitaani kwetu wamebaki wazee vijana wote wamekimbilia Dar wakizan kule ndo watapata ukomboz kumbe afadhali wangebaki mwakwao wajikwamue na kilimoHizo za kupiga chabo na kuiba pilau na nyama kwenye harusi zinafanyika sana na watoto wa kitaani
Kilimo kitakuwa kimbilio kama Bodi ya Mikopo ikiendelea kuwapa wanafunzi shilingi sabini na saba elfu.Kitaani kwetu wamebaki wazee vijana wote wamekimbilia Dar wakizan kule ndo watapata ukomboz kumbe afadhali wangebaki mwakwao wajikwamue na kilimo
Elfu saba unaweza kununua jembe na mbegu halafu ukaanza kulima, Kilimo kinalipaKilimo kitakuwa kimbilio kama Bodi ya Mikopo ikiendelea kuwapa wanafunzi shilingi sabini na saba elfu.
Kilimo kinalipa lakini mikeka ndo mpango mzima. Less efforts, maximum returns.!Elfu saba unaweza kununua jembe na mbegu halafu ukaanza kulima, Kilimo kinalipa
Kuheshimiwa sio mpka uamkiwe..Mama na baba ni wa kuheshimiwa
Husika na kichwa cha habari tajwa hapo juu ndo barua nyingi za kikazi zinavyoanza kuandikwaKuheshimiwa sio mpka uamkiwe..
Ila n aina ya maisha mnayoishi sehem husika
mawazo yakizidi sana unaweza kuwa kichaa.lock haitoki bar ladba upunguze mawazo
Kichaa kamwe hawezi gundua kuwa yeye hayuko sawaKichaa ahaaa ujui katika watanzania wa nne mmoja wapo ni kichaaa
Sawa sawa{== }ni alama inayoonyesha umefkia kwenye jibuKichaa kamwe hawezi gundua kuwa yeye hayuko sawa
Jibu siku zote linapatikana baada ya kulitafuta kwa juhudi zoteSawa sawa{== }ni alama inayoonyesha umefkia kwenye jibu
Kuongoza watu si mchezo ,wala si kazi ndogoZote ni alama za kushindwa kuongoza
Ndogo na ndogo hujaza, kikubwa methali mpyaKuongoza watu si mchezo ,wala si kazi ndogo
Mpya kwako [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Ndogo na ndogo hujaza, kikubwa methali mpya
Kwako wewe umezoea haba na haba hujaza kibaba mkuu[emoji1] [emoji23]Mpya kwako [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mkuu ni mwenyez mungu tuKwako wewe umezoea haba na haba hujaza kibaba mkuu[emoji1] [emoji23]