Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,118
Kikwete kidogo kimetulia tulii.... japo vurugu za maandamano zamkaribia mlangoni !!!
Mlangoni mwa uwanja wa taifa vurugu zilitokeaKikwete kidogo kimetulia tulii.... japo vurugu za maandamano zamkaribia mlangoni !!!
Mshindi uwe wewe na me nipo waphapo bado hamjaamini kuwa mimi ndo mshindi
WAP ni kwamba unauliza au, mbona hukuweka alama ya kuulizaMshindi uwe wewe na me nipo wap
Wahenga walisema kua uyaonekuuliza si ujinga methali ya wahenga
Uyaone maajabu ya mpira kesho yanga anamuua mo bejaiaWahenga walisema kua uyaone