Siafu na Manga
JF-Expert Member
- Aug 5, 2013
- 2,892
- 8,971
Hakuna kupata ushindi kirahisi
Kirahisi huwezi kuendesha Taifa

Harufu ya chokolatiPenyewe pana mkusanyiko wa takataka na harufu !!!!![]()
chocoleti ukila na tende huongeza nguvu za maRijali !!!
Jangwani kuna mti wenye bahati kuota humo nao si mwingine ni mtendeNgamia ni meli ya jangwani.
jingi kweli ila mtende umemeaJangwani vumbi jingi
Umemea kwa kuwa ni mfano wa neema.., kwani ukiupopoa mawe mtende hukudondoshea tende taamu !!