Uso kwa Uso gari zinagongana! siku hizi kuna ajali za ajabu huwezi kuaminiTutafanikiwa kwani nia tunayo. Watu humu wanapata raha ndani ya nafsi zao kwa kutukana na kuwaponda wenzao ambao hata hawawajui uso kwa uso.
Uso kwa Uso gari zinagongana! siku hizi kuna ajali za ajabu huwezi kuamini
Mabaya yamekithiri kiasi kwamba hata mazuri huonekana mabaya.Kuamini ndugu Mtebetini ndio khaswaa tunavyotakiwa tuwe waaminifu,watiifu Na kufanya mazuri Na kukataza mabaya.
Mabaya ukiyaendekeza yatakuletea stressz na hatimaye utauguwa magonjwa kadhaa, Mungu apishe mbali kila balaa....Mabaya yamekithiri kiasi kwamba hata mazuri huonekana mabaya.
Balaa zote zipite lakini balaa la njaa ni kiboko...Mabaya ukiyaendekeza yatakuletea stressz na hatimaye utauguwa magonjwa kadhaa, Mungu apishe mbali kila balaa....
Kiboko ni hiyo avatar yako, sijui utapona huko PM maana wanaJF hawana dogo......😀😀😀Balaa zote zipite lakini balaa la njaa ni kiboko...
Dogo kwao hua kubwa, hahaha itabidi nijizibe uso.Kiboko ni hiyo avatar yako, sijui utapona huko PM maana wanaJF hawana dogo......😀😀😀
Uso wako una noor !! hakika muumba amekupendelea Ndg. Everhurt mie ntabaki kukushangilia....Dogo kwao hua kubwa, hahaha itabidi nijizibe uso.
Kukushangilia pekee haitoshi, nitakupa na zawadi ya ushindi....Uso wako una noor !! hakika muumba amekupendelea Ndg. Everhurt mie ntabaki kukushangilia....
Ushindi utanikuza bichwa langu... bora nistaafu mapema !!!Kukushangilia pekee haitoshi, nitakupa na zawadi ya ushindi....
Mapema yote hii wataka kustaafu! Aaah kua na subira.Ushindi utanikuza bichwa langu... bora nistaafu mapema !!!
Subira ya vuta kheri... lakini kuna kikomo cha subiri !!!Mapema yote hii wataka kustaafu! Aaah kua na subira.
Subiri nikuambie, lazima kuwa na subira kwasababu vitu vingine hupata maamuzi kutokana na muda.Subira ya vuta kheri... lakini kuna kikomo cha subiri !!!
Muda ndio huamua kila kituSubiri nikuambie, lazima kuwa na subira kwasababu vitu vingine hupata maamuzi kutokana na muda.
Muda ni hakimu wa maamuzi nami nimeshaamua kitakacho kuwa na kiwe....Subiri nikuambie, lazima kuwa na subira kwasababu vitu vingine hupata maamuzi kutokana na muda.
Kitu kinachonisukuma kustaafu ni utu uzima umenivaa .....Muda ndio huamua kila kitu
Vaa gwanda chapa kazi.Kitu kinachonisukuma kustaafu ni utu uzima umenivaa .....
Kazi ndio msingi wa maishaVaa gwanda chapa kazi.
Maisha yenyewe ndio haya, tunapaswa kuyaishi kadiri itakikanavyo.Kazi ndio msingi wa maisha
Maisha ya sasa yanachangamoto sana tofauti na enzi zetu za kabla ya uhuru.Kazi ndio msingi wa maisha