Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,996
- 15,119
Tupendane kiutu na tuvumiliane kibinaadamu na tuheshimiane kilimwengu...Usanii umetawala ulimwengu huu.kila mtu Ni msanii Kwa njia moja Au nyingine.Yote hayo Ni mapenzi ya maisha.Tupendane
Kiulimwengu amani itawaleTupendane kiutu na tuvumiliane kibinaadamu na tuheshimiane kilimwengu...
itawale hukumu ya maadili na haki hapo maendeleo yataibukaKiulimwengu amani itawale
Yataibuka mengi mwaka huu, yameanza ya kitwangwa na pombeitawale hukumu ya maadili na haki hapo maendeleo yataibuka
Pombe ni sababu ya pombe kutenguliwa hivyo tuwe wasafi kazini....Yataibuka mengi mwaka huu, yameanza ya kitwangwa na pombe
Kazi wanaichezea wakiwanayo, wakiikosa wanajutaPombe ni sababu ya pombe kutenguliwa hivyo tuwe wasafi kazini....
Wadogo wanakuwa na wanapauka wanapotumbuliwa lakini sababu ni uzembe wao....Wanajuta tena kama watoto wadogo
Wao wanakuwa wabahili sana zama hiziWadogo wanakuwa na wanapauka wanapotumbuliwa lakini sababu ni uzembe wao....
Wao wanakuwa wabahili sana zama hizi
Stereo ya kwanza kuundwa japan ilikuwa modeli ya "sansui" ila sasa miundo ya surround...!!Hizi nazo ni kipindi cha Redio one stereo.
Wewe utakuwa mshindi wa shindano hiliSurround ndiyo nini wewe!
Hili shindano hakika Amaizing ndiyo mshindi!Wewe utakuwa mshindi wa shindano hili
Sasa mshindi ndio Mimi.Mshindi bado hajapatkana hadi sasa