Mikoani ulipo si mbali katika ulimwengu wa sasa unaoitwa e-world hebu fungua hizo link kuongeza ufahamuBismin?tupe historia yake ndungu Mtebetini maana sisi wengine tuko mikoani
Kiasi ulichoeleza kina ukweli marehemu mdogo wangu "Mwenyezi Mungu amalaze mahali pema peponi" alikuwa anaishi Afrika kusini na alipata uraia kwa kudai yeye ni wa huko na walimkubaliaXhosa ndungu Mtebetini Ni Kama Kisandawe Na waIraqwi wanaoishi Mikowa ya Dodoma Na singida Tena maumbile Na rangi zao zinafanana kiasi
Kiasi ulichoeleza kina ukweli marehemu mdogo wangu "Mwenyezi Mungu amalaze mahali pema peponi" alikuwa anaishi Afrika kusini na alipata uraia kwa kudai yeye ni wa huko na walimkubalia
Nimefarajika zaidi kwa uungwana wako ahsante mchango wako humu JF unathamaniWalimkubalia Kwa Sababu alikubalika Mwenye Mungu amuweke mahali pema peponi Amen.
Nakushukuru ndungu Mtebetini kwa muungo wa sanamu ya Bismini Na historia ya Tanganyika .Duh nimefarijika
Nimefarajika zaidi kwa uungwana wako ahsante mchango wako humu JF unathamani
Historia inaonyesha muungwana hana tabia ya kupayukaThamani ya kila utu ni sawa msilete mambo yenu huku sio jukwaa la siasa au historia
Utaeleweka kutokana na maelezo yako MazuriKupayuka payuka tuuuuuu.. Kama vile umetokwa na akili. Ongea taratibu utaeleweka
Mzuri yote niliyomfanyia,mtendea leo hii ananiona wa kazi ganiUtaeleweka kutokana na maelezo yako Mazuri
Mzuri yote niliyomfanyia,mtendea leo hii ananiona wa kazi gani
Zako zote tamu ila moja ile ya jiraniGani ndiyo hivyo ndungu T-1990 ELY fanyawema nenda zako
Zako zote tamu ila moja ile ya jirani
Watu wengi siku hizi wananenepa sanaJirani gani Tena? Nilifikiri ulishaviacha vya watu
Watu wengi siku hizi wananenepa sana
Adimu kweli mgogoone [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]hasa wanawake maana utendaji, wajibikaji kitandani imekuwa chini ya kiwango.Sana wananenepa Kwa sababu ya kuku matahira Na machipsi,TV Na mitandaoni.Mazoezi yamekuwa adimu
Yote MaishaKiwango cha wanaume rijali kama mimi kimepungua sana sababu ya kuku matahira na machips. Ila mazoezi ndio dawa ya hayo yote.
Yote Maisha
Ulelemama siyo mzuri ukiwa unatoa bikraMaisha ya uanaume hayataki ulelemama!