Wa mwisho ndiyo mshindi

Traini ni moja ya usafiri unao hudumia sehemu kubwa nchini, Nashukuru kunijuza jina la bwawa...
Bwawa lingine linaitwa Farkwa lilianzisha Mwaka 2015.Tunategemea Dodoma itabadilika kutokana Na kugunduliwa Kwa Madini mengi
Yakiwemo Alimasi,Uranium Na Ruby karibuni kwenye uwekezaji kwa WAZALENDO
 
Bwawa lingine linaitwa Farkwa lilianzisha Mwaka 2015.Tunategemea Dodoma itabadilika kutokana Na kugunduliwa Kwa Madini mengi
Yakiwemo Alimasi,Uranium Na Ruby karibuni kwenye uwekezaji kwa WAZALENDO
Wazalendo ni wapo mbali na mawazo ya kujiajiri !! ila nikiunganisha dots naamini mwenzangu ni mgogo asili (kwa id yako) na (kwa ukarimu wako) hivyo unatushauri tuanze kuchimba...
 
Wazalendo ni wapo mbali na mawazo ya kujiajiri !! ila nikiunganisha dots naamini mwenzangu ni mgogo asili (kwa id yako) na (kwa ukarimu wako) hivyo unatushauri tuanze kuchimba...
Kuchimba ni muhimu.Katika serekali hii
Huna haja ya kumjua Huyu wala yule.Unafuata Sheria za nchi ya uwekezaji ambayo iko kwenye tovuti ya wizara ya nishati Na Madini
 
Kuchimba ni muhimu.Katika serekali hii
Huna haja ya kumjua Huyu wala yule.Unafuata Sheria za nchi ya uwekezaji ambayo iko kwenye tovuti ya wizara ya nishati Na Madini
Madini ni rasilimali ya taifa, hivyo urasimu serikalini uzingatie muda maalum !!
 
Rufiji ni mkoa wa mpwani wenyeji wake ni wadengereko
Wandengereko a.k.a "wandenge Stan" wanapatikana katika maeneo ya Mkuranga,Jaribu Mpakani, Bungu,Kibiti,Ikwiriri,Nyamisati,Kisiju,Nyamwage,Ngulakula,Kimbuga,Njopeka,Mkiu,Muhoro,Somanga hata ni maeneo kwa uchache bila kusahau Makao Makuu Utete.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…