monomotapa
JF-Expert Member
- Oct 30, 2012
- 437
- 327
sana tu zimeadimika lakini vijijini zipo nyingi.
adimu kama shilingi ya NyerereNyingi lakini mwisho wa siku zitakuwa adimu
Mh. Wasira! hata yeye alikuwa upinzani.Nyerere ndio chanzo cha Mh Wasira!
Haswaa mkurugenzi wa fedhaTtcl ni jipu haswaa
Haswaa mkurugenzi wa fedha
Wanavyojiuza miili Yao kila konaFedha ishakuwa fedheha dada zetu wanavo jiuza
Wanavyojiuza miili Yao kila kona
Mbao za mninga ngumuKona za tandale kwa tumbo ndio zinazo ongoza kwa roba za mbao
Ngumu kumeza chungu kutemaMbao za mninga ngumu
Kutema mate ya mke wako ni dharauNgumu kumeza chungu kutema
dharau hiyo vepeKutema mate ya mke wako ni dharau
Vepee wew jaribudharau hiyo vepe
Jaribu uone cha mtema kuni..
Kuni mbichi haziivishi chakula
Chakula chako kibichi kwa wa sababu ya Ubishi
Na wewe ndo waongoza kwa ubishi... c ndio?Ubishi ndo tabia ya binaadam na ndomana huu uzi hauna mshindi