mchajikobe
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 2,678
- 1,279
Ray ameshajigeuza mkongo,pesa za bongo muvi anaenda kununulia mkorogo,umri umeshaenda bado anaishi kwao
rangi 3 nimehama kitambo kwa sasa niko Kimara.Hama hapo nyumbani ray njoo upange huku mbagala rangi 3
Kwachu ni mchezo wa wakubwaUsiku umeingia sasa, watoto wakalale wakubwa wakakwachu kwachu
Kwachu ni mchezo wa wakubwa
Mchezo huo mnafaidi peke yenuWakubwa tunafaidi huo mchezo
Yenu maisha yanavutia SanaMchezo huo mnafaidi peke yenu
Sana ukiongeza a unapata sanaa, sanaa zilikuwa nyingi TRA awamu ya nneYenu maisha yanavutia Sana
Sana ukiongeza a unapata sanaa, sanaa zilikuwa nyingi TRA awamu ya nne
Match ya Jana usiku ilikuwa tamuNne ndio magoli mpenzj wangu anafunga tukiwa na match
tamu kwako chungu kwa mashabiki wa man U.Match ya Jana usiku ilikuwa tamu
thread haitaisha milele maana likamtu anataka kuwa mshindi kama mimi!Mashetani wamefata nin kweny hii thread?