General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,316
- 23,178
Mungu ni janga linaloeneza uoga dunianisanaa hasa kwa wasiomcha Mungu!
Mungu ni janga linaloeneza uoga dunianisanaa hasa kwa wasiomcha Mungu!
Duniani kuna watu wenye roho za ibilisMungu ni janga linaloeneza uoga duniani
duniani kila mtu ana uhuru wa kuamini anachoamini...Mungu ni janga linaloeneza uoga duniani
Ibilisi ni wa ajabu sana...anapinga uwepo wa Mungu
milele mtamsubiri sana, na badoMUNGU kwetu ndiyo kimbilio letu hatutaogopa milele na milele
milele mtamsubiri sana, na bado
mkali? jamani mambo ya udini acheni..!!Bado sana nini,,unaonekana wewe ni muislamu mwenye msimamo mkali
Acheni kuanzia sasa, sawa?mkali? jamani mambo ya udini acheni..!!
Seif ni mshindi wa urais zanzibar japo hawamwamini kama anaweza kuulinda muunganoSawa sawa ni maneno yanayopenda sana kutumiwa na maalim seif
Muungano aamue kuulinda au kutoulinda ni maamuzi yake kama raisi wa zanzibar, cha msingi apewe tu haki yake ambayo ni ushindiSeif ni mshindi wa urais zanzibar japo hawamwamini kama anaweza kuulinda muungano
Ushindi kashinda yeye kazi kutangazwa kuwa mshindiMuungano aamue kuulinda au kutoulinda ni maamuzi yake kama raisi wa zanzibar, cha msingi apewe tu haki yake ambayo ni ushindi
Mshindi ni wazi kua ni yeye, ila lazima fisiemi watachakachuaUshindi kashinda yeye kazi kutangazwa kuwa mshindi
...mshindi atabaki mshindi tu hata wakirudia uchaguziUshindi kashinda yeye kazi kutangazwa kuwa mshindi
Uchaguzi sio suluhisho la mgogoro, shida ccm ni nundu isiyotaka kushindwa...mshindi atabaki mshindi tu hata wakirudia uchaguzi