Wa mwisho ndiyo mshindi

Sasa ni lunch time tufunge makazi twende kwa chakula tuje tena saa nane
 
Nane nane ni sikukuu ya wakulima Dr Magufuli cjui atatoka na single gani on that day.
 
Hivi alieanzisha huu Uzi ana mategemeo gani.? ..maana dalili ya mshindi haipo kabisa
 
wasomi wengi wa Tanzania wapo kinadharia zaidi, kivitendo wanazingua sana, ndio maana naikubali sana elimu ya mtaa kuliko ya chuo
 
Mambo mazuri hayataki haraka, tulieni tu mtanyooka mnaojiita mmeelimika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…