zaby toto
Member
- Jun 1, 2025
- 58
- 63
Mshindi Bado tuNidownload wakati sina data...
Mshindi Bado tuNidownload wakati sina data...
Tunakusubiri ww uwe mshindi.Mshindi Bado tu
Mshindi bado tuendelee na mchezo Angalao tupate pesa..Tunakusubiri ww uwe mshindi.
Pesa zipi izo tena..😳Mshindi bado tuendelee na mchezo Angalao tupate pesa..
Tena huku ukitoa macho?Pesa zipi izo tena..😳
Kuifungia JF ni maamuzi ya hovyo sanaMacho 😳 wanayatumbua TCRA wakiona tunaperuzi Jf baada ya wao kuifungia
Sana yaani kama vile wororo yayeeeKuifungia JF ni maamuzi ya hovyo sana
Yayeee! Nchi inahitaji mabadilikoSana yaani kama vile wororo yayeee
Mabadiliko yataletwa na sisi wananchi na sio Wale mboga mboga.Yayeee! Nchi inahitaji mabadiliko
Mboga mboga wanainyonya nchi.Mabadiliko yataletwa na sisi wananchi na sio Wale mboga mboga.
Nchi yetu inaangamiaMboga mboga wanainyonya nchi.
inaangamia kwa sababu ya watu wachache.Nchi yetu inaangamia
Wachache wao ni miungu watuinaangamia kwa sababu ya watu wachache.
Watu wa jamii forums haswa mods Paw Active Moderator Maxence Melo mimi ndio nimekuwa wa mwisho naombeni muufunge uzi nitangazwe mshindi.Wachache wao ni miungu watu
Mshindi nisipo kuwa mimi huu uzi bora ufutweWatu wa jamii forums haswa mods Paw Active Moderator Maxence Melo mimi ndio nimekuwa wa mwisho naombeni muufunge uzi nitangazwe mshindi.
Ufutwe wewe pamoja na Kepteni TeshaMshindi nisipo kuwa mimi huu uzi bora ufutwe
Tesha kafata nini tena hukuUfutwe wewe pamoja na Kepteni Tesha
Huku Mafia kumbe kuzuri!Tesha kafata nini tena huku
Off wapi tena mkuuHuku Mafia kumbe kuzuri!
Nalog off