HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,552
- 48,148
Kutubu ikiwa na maana usije kurudia makosa yaleyale kisha utegemee kutubu tena ingawa Muumba ni mwenye kusameheMadhambi yakizidi ni kheri uwahi kutubu
Kutubu ikiwa na maana usije kurudia makosa yaleyale kisha utegemee kutubu tena ingawa Muumba ni mwenye kusameheMadhambi yakizidi ni kheri uwahi kutubu
kusamehe sio kusahauKutubu ikiwa na maana usije kurudia makosa yaleyale kisha utegemee kutubu tena ingawa Muumba ni mwenye kusamehe
Kusahau ni ugonjwa
Ugonjwa ulioenea kwa baadhi yetu ni ubinafsi!!Kusahau ni ugonjwa
Ubinafsi una athari kwa jamii na taifaUgonjwa ulioenea kwa baadhi yetu ni ubinafsi!!
Taifa la tzUbinafsi una athari kwa jamii na taifa
Tz imepakana na Kenya
Kenya ina maendeleo ya viwanda na elimu !!Tz imepakana na Kenya
Elimu yetu haina viwangoKenya ina maendeleo ya viwanda na elimu !!
Viwango vipo ktk kila bongo sema Quality zinapishana...Elimu yetu haina viwango
Zinapishana kwa sababu hatuna mfumoViwango vipo ktk kila bongo sema Quality zinapishana...
Mfumo wa kutenganisha kilicho bora na kisicho boraZinapishana kwa sababu hatuna mfumo
Bora hata umegundua hiloMfumo wa kutenganisha kilicho bora na kisicho bora
Hilo likifanyiwa kazi, matatizo kwisha kabisaBora hata umegundua hilo
Kabisa kwa sababu tuna viongozi wasikivuHilo likifanyiwa kazi, matatizo kwisha kabisa
KabisaHilo likifanyiwa kazi, matatizo kwisha kabisa
Wasikivu bila kutekeleza kwa Matendo ina faida?Kabisa kwa sababu tuna viongozi wasikivu
Wasikivu hawa au waliotangulia?Kabisa kwa sababu tuna viongozi wasikivu
Faida tunazipata kwenye tozo za miamala, zitatengeneza madarasa idadi nimesahauKabisa
Wasikivu bila kutekeleza kwa Matendo ina faida?
Waliotangulia ndiyo waliyo warithisha wa leo!!Wasikivu hawa au waliotangulia?
Waliotangukia walikua wasikivu ila hawa hata siwaelewiWasikivu hawa au waliotangulia?