Hatuyafahamu sababu hatujataka kuyafahamuYako mengi sana ambayo hatuyafahamu
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Hatuyafahamu sababu hatujataka kuyafahamuYako mengi sana ambayo hatuyafahamu
Kuyafahamu yaliyopitaa kuna faida
Faida ya kulala na kupata usingizi wa kutosha ni kubwa jamani sasa niwaombe tulale ndugu zanguKuyafahamu yaliyopitaa kuna faida
Ndugu zangu kulala mchana hakuna faida yeyote saivi na download usingizi lakini sipatiFaida ya kulala na kupata usingizi wa kutosha ni kubwa jamani sasa niwaombe tulale ndugu zangu
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Sipati picha itakuaje mtu unakosa usingizi hivi alafu saa 11 asubuhi unatakiwa uwe safariniNdugu zangu kulala mchana hakuna faida yeyote saivi na download usingizi lakini sipati
Safarini kuna raha yake hasa safari yenyewe isiwe ya kwenda kilioniSipati picha itakuaje mtu unakosa usingizi hivi alafu saa 11 asubuhi unatakiwa uwe safarini
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Kilioni kila mtu anakwenda na yake mwingine anaenda tu kushangaa wafiwaSafarini kuna raha yake hasa safari yenyewe isiwe ya kwenda kilioni
Wafiwa tuwape farajaKilioni kila mtu anakwenda na yake mwingine anaenda tu kushangaa wafiwa
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Faraja inahitajika muda wote kwa yoyote mwenye majonziWafiwa tuwape faraja
Majonzi inategemea umeguswa vipi na jambo lenyeweFaraja inahitajika muda wote kwa yoyote mwenye majonzi
Lenyewe hilo jitu linajifanyia mambo yake kiholela holelaMajonzi inategemea umeguswa vipi na jambo lenyewe
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Holela holela tunavyojiendesha itatufanya uchumi wetu ushuke vibayaLenyewe hilo jitu linajifanyia mambo yake kiholela holela
Vibaya hivyo waswahili wanasema mdomo huumbaHolela holela tunavyojiendesha itatufanya uchumi wetu ushuke vibaya
Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
Huumba vizuri na vibaya ila kwania njemaVibaya hivyo waswahili wanasema mdomo huumba
Mzigoni nilipewa notice ya mwezi mmoja !!0328 meingia mzigoni
Mmoja wa wachangiaji mahiri ZZ amerudi ulingoniMzigoni nilipewa notice ya mwezi mmoja !!
Ulingoni amerudi na pametaradadi tena.Mmoja wa wachangiaji mahiri ZZ amerudi ulingoni
View attachment 1823893
Tena nataka kufanya mpango nirudi zangu maporiniUlingoni amerudi na pametaradadi tena.
Maporini ndiko wajuba tunapata mipunga ya maana.Tena nataka kufanya mpango nirudi zangu maporini