HARUFU
Platinum Member
- Jan 21, 2014
- 31,553
- 48,152
Ubishi haufai, dalili ya Ubishi ni ujuaji mwingi
Ubishi haufai, dalili ya Ubishi ni ujuaji mwingi
mwingi kama nini kwa mfanoUbishi haufai, dalili ya Ubishi ni ujuaji mwingi
Mfano wako haujaelewekamwingi kama nini kwa mfano
Haujaeleweka km muft!Mfano wako haujaeleweka
Mufti katuongezea siku za kufunga tenaHaujaeleweka km muft!
Tena bila aibuMufti katuongezea siku za kufunga tena
Aibu ni akiliTena bila aibu
Akili bila maarifa sawa na kuishi kwenye gizaAibu ni akili
Giza la Jana usiku daa! sijawahi kulionaAkili bila maarifa sawa na kuishi kwenye giza
Kuliona inahitaji uwe na jichoGiza la Jana usiku daa! sijawahi kuliona
Jicho lingetumika vizuri jana ktk kuuona mwezi basi Mufti angetengua kauli na leo wa Tz tungealikana pilauKuliona inahitaji uwe na jicho
Pilau ni chakula, kikuu cha sikukuu mbalimbali TanzaniaJicho lingetumika vizuri jana ktk kuuona mwezi basi Mufti angetengua kauli na leo wa Tz tungealikana pilau
Tanzania ndio nchi pekee A. Mashariki ambayo leo hawasherehekei siku kuu ya idiPilau ni chakula, kikuu cha sikukuu mbalimbali Tanzania
Idi ya Tz itakua kesho hata usijarTanzania ndio nchi pekee A. Mashariki ambayo leo hawasherehekei siku kuu ya idi
Usijari weye chukua utulivu kwakoIdi ya Tz itakua kesho hata usijar
Kwako kuna gorofa au kanyumba kadogoUsijari weye chukua utulivu kwako
Kadogo kanyumba nimewachia wajukuuKwako kuna gorofa au kanyumba kadogo
Wajukuu ni baraka toka kwa MuumbaKadogo kanyumba nimewachia wajukuu
Muumba wa mbingu na nchi ndie aliyekuumba wewe mtoto mzuri bilashakaWajukuu ni baraka toka kwa Muumba
Muumba wetu ni mmojaWajukuu ni baraka toka kwa Muumba