mwandiko11
Member
- Feb 6, 2021
- 98
- 221
Hapana bhana ,hakuonekana na binti lakin alikufaa kwa ngomaa
Ngoma ipo unamaanisha? Mdundiko auHapana bhana ,hakuonekana na binti lakin alikufaa kwa ngomaa
Au nasema uongo ndugu zangu
Ndugu zangu ukaribu wetu ndiyo ngao yetu ya kujikingaAu nasema uongo ndugu zangu
Kujikinga hatuna budi, hatari sana huu ugonjwaNdugu zangu ukaribu wetu ndiyo ngao yetu ya kujikinga
Ugonjwa huu ni hatari.Kujikinga hatuna budi, hatari sana huu ugonjwa
Hatari yake nini zaidi magonjwa mengine pia yanauwa au ndo tunayafumbia ???Ugonjwa huu ni hatari.
Tunayafumbia macho!!!!Hatari yake nini zaidi magonjwa mengine pia yanauwa au ndo tunayafumbia ???
Macho yanaonaa mbaliiiTunayafumbia macho!!!!
Mbali ya kuvaa kofia yule babu Mzee alichika bakoraMacho yanaonaa mbaliii
Mbali ya kuvaa kofia yule babu Mzee alichika bakora
Mahakamani ndipo kwenye haki imeendana na jina na Uamuzi wa Hakimu..Bakora ni moja kati ya adhabu zitolewazo mahakamani
Hakimu ni mtu mbaya sana, anakusekwa jela miaka mingi utadhani hana chembe za ubinadamuMahakamani ndipo kwenye haki imeendana na jina na Uamuzi wa Hakimu..
Ubinadamu ni kuijenga Tanzania yetu kwa bidii, weledi na uzalendo wa kweli, tukishirikiana na Rais wetu mpendwa ambaye ni Tunu na Chumu ya Almasi -- Ms SamiaHakimu ni mtu mbaya sana, anakusekwa jela miaka mingi utadhani hana chembe za ubinadamu
Thamani ya kitu huonekana pale kinapotowekaAlmasi huvishwa dhahabu na hizi zote zina thamani...
Kinapotoweka maadili uhuni na ujanja hujazia..Thamani ya kitu huonekana pale kinapotoweka
Hujazia mada ninapoona ipo kimyaKinapotoweka maadili uhuni na ujanja hujazia..
Kimya kimya niliamuwa kusajiliHujazia mada ninapoona ipo kimya
Kusajili kwa alama za vidoleKimya kimya niliamuwa kusajili