Zamiluni Zamiluni
JF-Expert Member
- Feb 11, 2014
- 13,997
- 15,104
Kwa nini nisikufundishe " ni mstari unao pita katikati ya Dunia (ulimwengu) wenye kuigawa Dunia pande mbili yaani juu kaskazini na chini kusini*
Kwa nini nisikufundishe " ni mstari unao pita katikati ya Dunia (ulimwengu) wenye kuigawa Dunia pande mbili yaani juu kaskazini na chini kusini*
Kusini mwa jangwa la sahara kuna upepo mkaliKwa nini nisikufundishe " ni mstari unao pita katikati ya Dunia (ulimwengu) wenye kuigawa Dunia pande mbili yaani juu kaskazini na chini kusini*
Yupi anaemzidi Chui (Leopard) kwa ukali na hasira ?Mkali katika wanayama wote mbugani ni yupi?
Hasira hasaraYupi anaemzidi Chui (Leopard) kwa ukali na hasira ?
Hasara gani kubwa umewahi kuipata?
Kuipata alama ya milioni kumi ni ngumu ila kufikia Milioni mia ni wepesi pindi shughuli zikichanganya....Hasara gani kubwa umewahi kuipata?
Zikichanganya vizuri niiteKuipata alama ya milioni kumi ni ngumu ila kufikia Milioni mia ni wepesi pindi shughuli zikichanganya....
Niite niite nikaribishe niitikie Labeka !!Zikichanganya vizuri niite
Labeka au lembeka?Niite niite nikaribishe niitikie Labeka !!
Lembeka hapa kwetu ni batili...Labeka au lembeka?
Batili ni batili tu kamwe batili aiwezi halaliLembeka hapa kwetu ni batili...
Halali yake kuliwaBatili ni batili tu kamwe batili aiwezi halali
Halali nyumbani Leo atakuwa kaziniBatili ni batili tu kamwe batili aiwezi halali
Kuliwa anakoliwa kuku sio ndio kwa ambalutuHalali yake kuliwa
Ambalutu tena si tulikubaliana awe Rose ReeKuliwa anakoliwa kuku sio ndio kwa ambalutu
Rose Ree anarap vizuri, napenda nyimbo zakeAmbalutu tena si tulikubaliana awe Rose Ree
Zake zikifika hakuna wa kuzizuia au kuongeza.Rose Ree anarap vizuri, napenda nyimbo zake
Kuongeza chumvi nyingi kwenye chakula ni hatari kwa afyaZake zikifika hakuna wa kuzizuia au kuongeza.
Afya yake imeanza kuimalika na kurudi kwenye hali yake kama zamaniKuongeza chumvi nyingi kwenye chakula ni hatari kwa afya