Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,075
- 74,487
Tanzania ni nchi nzuri sanaKutuliza HOFU isiyo na msingi wowote ni pale Watanzania tunaposikiliza ushauri wa serikali wa kuchapa kazi kwa bidii, kuchukua tahadhari, kumtanguliza Mola na kuwa mstari wa mbele katika kushiriki juhudi za ustawi na maendeleo ya taifa letu zuri la Tanzania