3 Angels message
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 5,571
- 16,243
Ujana wanadai ni maji ya moto ukicheza vibaya yanakuunguzaHujaoa kwa sababu unakula ujana
Ujana wanadai ni maji ya moto ukicheza vibaya yanakuunguzaHujaoa kwa sababu unakula ujana
Yanakuunguza usoni na kubabuwa ngozi ile Supa extra MkorogoUjana wanadai ni maji ya moto ukicheza vibaya yanakuunguza
Mkorogo ukibuma unakuwa kituko mbele za watuYanakuunguza usoni na kubabuwa ngozi ile Supa extra Mkorogo

Mkorogo ukibuma unakuwa kituko mbele za watu![]()
ebu ngoja nitulie kwanza^Kwanza tutambue Ikulu ni mahali patakatifu; wanaopakimbilia, kuna biashara gani huko!???^ ~ JK Nyerereebu ngoja nitulie kwanza
Huko Kuna mengi usiyoyajua^Kwanza tutambue Ikulu ni mahali patakatifu; wanaopakimbilia, kuna biashara gani huko!???^ ~ JK Nyerere
Usiyoyajua ni sawa na usiku wa gizaHuko Kuna mengi usiyoyajua
Usiyoyajua ni sawa na usiku wa giza
Kulala mapema hivi subiri tuongee romansiaGiza limeingia muda wa kujiandaa kulala
Kulala kwa muda sahihi husaidia kuboresha afya ya mwiliGiza limeingia muda wa kujiandaa kulala
Mwili haujengwi kwa matofaliKulala kwa muda sahihi husaidia kuboresha afya ya mwili
Matofali ya kuchoma yana usalama ktk ujenziMwili haujengwi kwa matofali
Hata ukisema uongo ukiwa mwenyeji wa kule unapigiwa makofiHuko Kuna mengi usiyoyajua
( ndg Mromboo Tafadhali elewa masharti ya uzi huu )Hata ukisema uongo ukiwa mwenyeji wa kule unapigiwa makofi
Thanks( ndg Mromboo Tafadhali elewa masharti ya uzi huu )
Ujenzi wa kibanda changu umekwamaMatofali ya kuchoma yana usalama ktk ujenzi
Umekwama kwasababu umefuliaUjenzi wa kibanda changu umekwama
Imetulia Swahiba wetu usiseme tukuchangie au tembeza bakuli..Umekwama kwasababu umefulia
Bakuli la udongo limevunjikaImetulia Swahiba wetu usiseme tukuchangie au tembeza bakuli..
Limevunjika waliposhindana kulipokeaBakuli la udongo limevunjika