Wa mwisho ndiyo mshindi

kwa dhati? kuna mtu wa kukupenda namna hiyo, hayo mambo yalikuwa zamani, sasa hivi kula mzigo sepa!!
 
Mabinti wa siku hizi ni shida.Huwezi kumpata binti aliyekamilika kama #Mwana .
I love you Mwana
 
Nampenda yeye, ye ndo yeye, siwezi kwenda kwa mwingine... Huu wimbo unanikumbusha mbali sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…