MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,466
- 14,882
Wapi kitu gani wakati mshindi ni mimiAaaah wapi
Wapi kitu gani wakati mshindi ni mimiAaaah wapi
mshindi siku zote Ni yule mshindani kwa Uzi huu lazima mtanipa medani.Ukakosea kumjibu bora ungemuacha awe mshindi
Medani itatoka usiku ya mwisho wa dunia maana ndio mshindi atatangazwamshindi siku zote Ni yule mshindani kwa Uzi huu lazima mtanipa medani.
atatangazwa siku ya mwisho wa dunia!! Na wewe unaamini Kuna mwisho wa dunia!!!???Medani itatoka usiku ya mwisho wa dunia maana ndio mshindi atatangazwa
Shujaa wa vitaDunia hadaa walimwengu shujaa
'Vita vya panzi kwa kunguru ndiyo tijara'Shujaa wa vita
Tijara ni moja kati ya misamiati migumu kwenye lugha ya kiswahili'Vita vya panzi kwa kunguru ndiyo tijara'
Kiswahili ni lugha ya taifaTijara ni moja kati ya misamiati migumu kwenye lugha ya kiswahili
Kiswahili ni lugha ya taifa
Unamaanisha mi ndo mshindiTaifa lipi unamaanisha?
Mshindi nimepatikana sasaUnamaanisha mi ndo mshindi
Sasa ni saa tano na dakika ishirini na tatu asubuhi (11:23) na bado mshindi hajapatikanaMshindi nimepatikana sasa
Hajapatikana mda huo ila mda huu mi ndo mshindiSasa ni saa tano na dakika ishirini na tatu asubuhi (11:23) na bado mshindi hajapatikana
Hajapatikana mda huo ila mda huu mi ndo mshindi
ubishi sio mzuriMshindi mpaka muda huu ni mimi hakuna ubishi
Mzuri haolewiubishi sio mzuri
Anazo lakini hazaiHaolewi kwanini na sifa za mke anazo
Hazai kweli au ni maneno ya watu tuAnazo lakini hazai