2019
JF-Expert Member
- Dec 31, 2018
- 3,182
- 4,828
Nguvu zao znatokana na mtukufu mung pkee
•Faith •Hope •Charity•
Pkee maana yake nini?Nguvu zao znatokana na mtukufu mung pkee
•Faith •Hope •Charity•
![]()
Pekee sana ni unique kama Mungu ambaye hana wa kumlinganisha naeNguvu zao znatokana na mtukufu mung pkee
•Faith •Hope •Charity•
![]()
nini ulitaka kumaanisha apa
Hapa tunajivunia fasaha ya lugha adhimunini ulitaka kumaanisha apa
adhimu ya Kiswahili tuitunze na kuienzi siku zoteHapa tunajivunia fasaha ya lugha adhimu
Zote zimehesabiwa hatujaona upungufu...adhimu ya Kiswahili tuitunze na kuienzi siku zote
Upungufu upo sana wewe hujaona tuZote zimehesabiwa hatujaona upungufu...
Tu tu tutuuuuu n mlio wa bunduk uliosikka jana kwenye shambulio la ugaid
•Faith •Hope •Charity•
tu macho twake tudogodogo ndo mana hakuona upungufu
Ugaidi hauna sura,kabila,dini Wala jinsia..Tu tu tutuuuuu n mlio wa bunduk uliosikka jana kwenye shambulio la ugaid
•Faith •Hope •Charity•
![]()
Upungufu wa maji mwilini husababishwa na nini?tu macho twake tudogodogo ndo mana hakuona upungufu
•Faith •Hope •Charity•
nini kipo nyuma ya mwenzake Kati ya hayo maji na damu
Nin kifanyke il apatikane mshnd kwenye huu uzi?
•Faith •Hope •Charity•
Damu hupendwa sana na vampiresnini kipo nyuma ya mwenzake Kati ya hayo maji na damu
•Faith •Hope •Charity•
Uzi wa kushonea nguoNin kifanyke il apatikane mshnd kwenye huu uzi?
•Faith •Hope •Charity•
![]()
Vampires wapo Bulgaria na wanazalinaDamu hupendwa sana na vampires
•Faith •Hope •Charity•
![]()
Wanazaliana? Khaa hatari sanaVampires wapo Bulgaria na wanazalina