Fragaria
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 7,188
- 40,444
Wadogo sana hawa vijana wanahitaji kuongeza nguvuHaluwa na tende na asali wa nyuki wadogo...
Wadogo sana hawa vijana wanahitaji kuongeza nguvuHaluwa na tende na asali wa nyuki wadogo...
Nguvu usiyo itumia leo haitokufaa kesho..!!Wadogo sana hawa vijana wanahitaji kuongeza nguvu
kesho ni siku ya jumapiliNguvu usiyo itumia leo haitokufaa kesho..!!
Jumapili ni siku ya mapumziko kwa kanda hii ila huku arabuni inakuwaga siku ya Ijumaa..
Ijumaa imekaa poa sana kwa ajili ya mapumzikoJumapili ni siku ya mapumziko kwa kanda hii ila huku arabuni inakuwaga siku ya Ijumaa..
Mapumziko ktk mechi ya leo tutaburudishwa na muziki ...
Muziki mzury ni wa dance na bongo flavaMapumziko ktk mechi ya leo tutaburudishwa na muziki ...
Flava za matunda yasiyo halisi/asilia ni bidhaa hatari kwa Afya...
Afya ndio kila kitu ktk uhai wa mwanadamuFlava za matunda yasiyo halisi/asilia ni bidhaa hatari kwa Afya...
MwanaAdam ni kiumbe chenye takwimu zilizo tukuka..
Tukuka utukuzwe na kila mtuMwanaAdam ni kiumbe chenye takwimu zilizo tukuka..
Kimeliwa kwasababu kilituna
•Faith •Hope •Charity•
Kitamaliziwa na mm kwasababu kp0 waz
•Faith •Hope •Charity•
Wazi kabisa leo game ni ngumuKitamaliziwa na mm kwasababu kp0 waz
•Faith •Hope •Charity•
![]()
Ugumu wa gemu ndo utamu wake
•Faith •Hope •Charity•
wake za watu ni watamu ila usifumaniwe tu apo utaomba ardhi ipasuke utumbukie ndaniUgumu wa gemu ndo utamu wake
•Faith •Hope •Charity•
![]()
Ndani ya maji kuna samaki wazuriwake za watu ni watamu ila usifumaniwe tu apo utaomba ardhi ipasuke utumbukie ndani
Wazur n malaika
•Faith •Hope •Charity•