life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,037
Wahalifu washapewa onyo kuwa "watapata tabu Sana"
Wahalifu washapewa onyo kuwa "watapata tabu Sana"
sana wapate tabu mana hawaogi hao jamaaWahalifu washapewa onyo kuwa "watapata tabu Sana"
Jamaa wa kijiweni hawafanyi kazi hushinda njaa!!sana wapate tabu mana hawaogi hao jamaa
njaa kali na unga ndio inawafanya waitwe matejaJamaa wa kijiweni hawafanyi kazi hushinda njaa!!
Mateja ni wajibu wetu kusasaidia na kuwatoa ktk janganjaa kali na unga ndio inawafanya waitwe mateja
Mateja wa sasa wanahitaji vitambulisho tu kazi yao kutambuliwa rasmi.njaa kali na unga ndio inawafanya waitwe mateja
Rasmi ifuate na matunzo chanya yenye tibaMateja wa sasa wanahitaji vitambulisho tu kazi yao kutambuliwa rasmi.
Sent using Jamii Forums mobile app
tiba ya asili ni bora kuliko vidonge mana vidonge vina sumuRasmi ifuate na matunzo chanya yenye tiba
Sumu ya panya uwe na tahadhari nayo husababisha madhara !!tiba ya asili ni bora kuliko vidonge mana vidonge vina sumu
Tiba ipo ht ya njia za asiliRasmi ifuate na matunzo chanya yenye tiba
madhara makubwa yametokea kule msumbiji beira na kuua watu baada ya mvua iliyoambatana na upepo mkubwa kunyeshaSumu ya panya uwe na tahadhari nayo husababisha madhara !!
Kunyesha mvua ya matope ni ishara ya Laana..madhara makubwa yametokea kule msumbiji beira na kuua watu baada ya mvua iliyoambatana na upepo mkubwa kunyesha
Laana kwani wamekosea nini?Kunyesha mvua ya matope ni ishara ya Laana..
Chako na chanu tukichanganya tutajenga msingi wa ushirikiano..Laana ni jambo baya sana likikukuta maana litakuathiri wewe hadi kizazi chako
Nini kilichokuchelewesha kuhudhuria kinyanganyiroLaana kwani wamekosea nini?
Kinyang'anyiro cha Ijumaa hikiNini kilichokuchelewesha kuhudhuria kinyanganyiro
Hiki haswa ndiyo vunja jungu mie nishamaliza naaga maana Aunty yenu anahiimiza..Kinyang'anyiro cha Ijumaa hiki
Anahimiza ukafanye kitu ganiHiki haswa ndiyo vunja jungu mie nishamaliza naaga maana Aunty yenu anahiimiza..