supermarket
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 7,453
- 10,968
Tamaa inaisha pale ambapo kila nikireplay unaniqoute kwan hautoki out leo
Leo sitoki, nipo off kuanzia asubuhi mpaka jioniTamaa inaisha pale ambapo kila nikireplay unaniqoute kwan hautoki out leo
Sent using Jamii Forums mobile app
kesho ni jumatatu tena, siku isiyopendwa na wanafunzi wa rika zote
Zote kasoro ss wa vyuo vikuukesho ni jumatatu tena, siku isiyopendwa na wanafunzi wa rika zote
vyuo vikuu vya hapa nchini
Nchini Tanzania kuna maziwa matatuvyuo vikuu vya hapa nchini
mziwa matatu yanatoka wapi hayo, maana dada na mama zetu wanayo mawili tu kila mmojaNchini Tanzania kuna maziwa matatu
am better here
Kila mmoja anajivunia lichokua nachomziwa matatu yanatoka wapi hayo, maana dada na mama zetu wanayo mawili tu kila mmoja
macho yao yanaona kila kitu, at a visivyoonekana kirahisi
nyenzo zikiwepo hakiharibikivchochote, hata mti unatembea ukiwa nazo