Kinyonyoke
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 3,498
- 13,141
Ardhi nayo siku hizi haina rutuba
Rutuba ya sasa ni ya kulazimisha kwa mbolea nadhani kwa 7bu mmeacha kunya poriniArdhi nayo siku hizi haina rutuba
Porini pekee ndio sehemu ambako rutuba haikwishiRutuba ya sasa ni ya kulazimisha kwa mbolea nadhani kwa 7bu mmeacha kunya porini
Haikwishi shida hata uwe tajiri kiasi gani!Porini pekee ndio sehemu ambako rutuba haikwishi
Gani huwa Ni neno gumu katika uanzaji wa sentensiHaikwishi shida hata uwe tajiri kiasi gani!
Uzi unazidi kila siku kupepeanimeumiss huu uzi
Kupepea kwa bendera hutegemea upepoUzi unazidi kila siku kupepea
upepo uvumao kutoka kaskazini kwenda kusiniKupepea kwa bendera hutegemea upepo
Festival ya mwaka huu ya Uhuru tutasherehekea mikoani mwetuKusin leo kuna wasafi Festival
mwetu limetumika ktk sehemu isiyo sahihi ktk kiswahili sanifuFestival ya mwaka huu ya Uhuru tutasherehekea mikoani mwetu
Sanifu au sadifu ni maneno yanayoshabihianamwetu limetumika ktk sehemu isiyo sahihi ktk kiswahili sanifu
yanayoshabihiana ktk kamusi ya kiswahiliSanifu au sadifu ni maneno yanayoshabihiana
Kiswahili lugha mama ya tanzaniayanayoshabihiana ktk kamusi ya kiswahili
ni taifa linaloongozwa na Rais John Magufuli..Magufuli aliwahi kuwa waziri wa ujenzi na miundo mbinu nadhaniTanzaniani taifa linaloongozwa na Rais John Magufuli..
Nadhani MAWAZO uloandika yako sahihiMagufuli aliwahi kuwa waziri wa ujenzi na miundo mbinu nadhani
Sahihi kbs, na alishakuw wazr wa uvuvi piaNadhani MAWAZO uloandika yako sahihi
Pia ni raisi kwa sasaSahihi kbs, na alishakuw wazr wa uvuvi pia