mwanga huleta nuru, unapowaka giza hupotea.Maendeleo kwa mtu mweusi ni sawa na giza na mwanga
Hupotea kama Amri khan ndani ya 3 idiots.mwanga huleta nuru, unapowaka giza hupotea.
3idots mojawapo ya. Mov ya kiindi nnayoikjubali.Hupotea kama Amri khan ndani ya 3 idiots.
"nnayoikjubali" ndiyo nini mkuu?3idots mojawapo ya. Mov ya kiindi nnayoikjubali.
Mkuu, bado unauza ubuyu?"nnayoikjubali" ndiyo nini mkuu?
Ubuyu, wengine wanamaanisha umbea.Mkuu, bado unauza ubuyu?
Ubuyu, wengine wanamaanisha umbea.
Clouds hawaendi nyegezi!Umbea upo clouds
inayonyegeza km walivyonyegezwa taifa starsNyegezi ni ile inayonyegeza
taifa stars wameharibu kaziinayonyegeza km walivyonyegezwa taifa stars
Korosho zote zimesombwa na JWTZ, pongezi kwaoKazi iliyonaki ni kwenda mtwara kucheza na Korosho
Kwao ni furaha, kwa Wafanyabiashara je!Korosho zote zimesombwa na JWTZ, pongezi kwao
Lini si rahisi, ipo siku tuJe hizo kilo mbili zetu tunazipata lini?
Tunakufungulia dunia popote ulipoLini si rahisi, ipo siku tu
Ulipo TupoTunakufungulia dunia popote ulipo