Wa mwisho ndiyo mshindi

Walifanyia kazi gani kweli sijui
sijui ni jibu tosha hata serikali ipo sahihi kufanya marekebisho kwani hujaskia habari ya yule mama aliemuombea mumewe angekufa kwenye mv nyerere ila apate rambirambi
 
sijui ni jibu tosha hata serikali ipo sahihi kufanya marekebisho kwani hujaskia habari ya yule mama aliemuombea mumewe angekufa kwenye mv nyerere ila apate rambirambi
Rambirambi inamtoa udenda kiasi cha kutamani mumewe angekufa![emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…