Wa mwisho ndiyo mshindi

weupe hata ivo unavutia tofauti na weusi
Weusi ni habari nyingine wewe, rangi adimu isiyopatikana popote duniani isipokuwa Afrika. Isiyouzwa kwenye duka la mzugu wala mchina isipokuwa majaaliwa ya Mwenyezi Mungu. Proud to be cheusi mangala
 
Weusi ni habari nyingine wewe, rangi adimu isiyopatikana popote duniani isipokuwa Afrika. Isiyouzwa kwenye duka la mzugu wala mchina isipokuwa majaaliwa ya Mwenyezi Mungu. Proud to be cheusi mangala
cheusi mangala hutakiwi kuwa proud of yourself sababu weusi ni ishara ya Giza na umasikini
 
Matumbo ya wadada sikuhizi yanapungua kwakuwa madanga wamepunguza bajeti ya kuhonga
Kuhonga wamepunguza ila wadada nao wamehamia kwenye vibia vya buku jero hivyo wanakunywa nyingi tofauti na enzi za savanah
 
Kuhonga wamepunguza ila wadada nao wamehamia kwenye vibia vya buku jero hivyo wanakunywa nyingi tofauti na enzi za savanah
Savanah ishakua mkombozi wa wengi ee..ila sio mbaya wajue na kuzitafuta pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…