Alisina
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 4,275
- 4,607
Ona anavyochachawa na mambo yake ya sifa.Mhafidhina mshamba sijawahi ona
Ona anavyochachawa na mambo yake ya sifa.Mhafidhina mshamba sijawahi ona
Sifa nazo sio nzuriOna anavyochachawa na mambo yake ya sifa.
Nzuri kama nini?Sifa nazo sio nzuri
Nini? Unamaana gani au hujuiNzuri kama nini?
Hujui kwamba sasa hivi ni muda wa kupumzika?Nini? Unamaana gani au hujui
Kupumzika kwa amaniHujui kwamba sasa hivi ni muda wa kupumzika?
Ona Mwenyezi Mungu anavyotupenda, katupa hewa yote hii tunavuta buree!Mhafidhina mshamba sijawahi ona
Tanzania Taifa la bongo kunawatu wengi wanausongo lakini wengi wao ni waongo.Amani haitokaa upatkane Tanzania
Buree ilikuwa mojawapo ya sera ya socialism wajamaa.Ona Mwenyezi Mungu anavyotupenda, katupa hewa yote hii tunavuta buree!
Wajamaa kweli. Hapo nyuma nimecheza faulo sikuona nyuzi za mbeleBuree ilikuwa mojawapo ya sera ya socialism wajamaa.
Mbele tusonge tusitazame ya nyuma.Wajamaa kweli. Hapo nyuma nimecheza faulo sikuona nyuzi za mbele
Mbele tusonge tusitazame ya nyuma.Wajamaa kweli. Hapo nyuma nimecheza faulo sikuona nyuzi za mbele
Nyuma sisi yeye mbeleMbele tusonge tusitazame ya nyuma.
Mbele nini wazee hili ji-thread mbona haliishi tu nimechangia mara ya mwisho 2014 sasa tena nashangaa bado linaendeleaNyuma sisi yeye mbele
Namna ya kusonga mbele ni kuchangia, vinginevyo halifi labda lifungwe!liendelee tu hakuna namna
Lifungwe! Tu Hamna namna.Namna ya kusonga mbele ni kuchangia, vinginevyo halifi labda lifungwe!