Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,718
- 126,564
Tutaelezana changamoto zilizonikuta ili ninusuru upotevu wa helaUpendo baina ya watu wawili tu
Tutaelezana changamoto zilizonikuta ili ninusuru upotevu wa helaUpendo baina ya watu wawili tu
Hela zipo tu jombaa, cha msingi wewe pambanaTutaelezana changamoto zilizonikuta ili ninusuru upotevu wa hela
Pambana na hali yakoHela zipo tu jombaa, cha msingi wewe pambana
Pambana na hali yakoHela zipo tu jombaa, cha msingi wewe pambana
Yako mambo mengi na ya kushangaza sana hapa dunianiPambana na hali yako
Duniani,kuna vitu vya kustajabisha walimwengu wanafanyaYako mambo mengi na ya kushangaza sana hapa duniani
Wanafanya vitu vya ajabu sanaDuniani,kuna vitu vya kustajabisha walimwengu wanafanya
Sana hasa hiki,kipindi cha utandawaziWanafanya vitu vya ajabu sana
Utandawazi umeleta madhara makubwa sana kuliko faidaSana hasa hiki,kipindi cha utandawazi
Faida ni kinyume cha hasaraUtandawazi umeleta madhara makubwa sana kuliko faida
Hasara ni sehemu mojawapo kwenye biasharaFaida ni kinyume cha hasara
Biashara ya mama ntilie nimeichoka sanaHasara ni sehemu mojawapo kwenye biashara
Sana sana kama hulipwi cashBiashara ya mama ntilie nimeichoka sana
Cash atoe nani kwa mkazo huu wa vyumaSana sana kama hulipwi cash
Vyuma vimekaza hata grisi haikai.Cash atoe nani kwa mkazo huu wa vyuma
haikai sehemu gani?Vyuma vimekaza hata grisi haikai.
Gani? Hata sijuihaikai sehemu gani?
Sijui nifanye niniGani? Hata sijui
Nini dawa ya kiungulia?Sijui nifanye nini
kiungulia sio ugonjwa ni mfumo tu wa tumbo na kemikali zake...inategemea na aina ya vyakula.Nini dawa ya kiungulia?