Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 25,012
- 56,300
ushindi wa mezaniUmoja ni ushindi
ushindi wa mezaniUmoja ni ushindi
Mezani kumependeza mapamboushindi wa mezani
Mapambo mengine yanakerehesha!Mezani kumependeza mapambo
Yanakerehesha hasa huko mjiniMapambo mengine yanakerehesha!
Mjini kusiko na ustaarab, nyumba ya haja kubwa na ndogo ni hiyo hiyo tofauti vyumba tu!Yanakerehesha hasa huko mjini
Yajayo yanasikitishaKura yako ni hali ya .......
Yanasikitisha pia ya JF kukosekanaYajayo yanasikitisha
Kukosekana Jf hewani kuliwafanya baadhi ya watu watange tange wakitafuta faraja.Yanasikitisha pia ya JF kukosekana
Faraja kotaKukosekana Jf hewani kuliwafanya baadhi ya watu watange tange wakitafuta faraja.
Kota faraja au clouds tv Da'kotaFaraja kota
City da'kota hahahaaa,dunia ina mambo.Da'kota alivaa wigi mliman city![]()
![]()
![]()
![]()
Mambo Mambo ya RFACity da'kota hahahaaa,dunia ina mambo.
RFA( wafomooolee Mwenye Nguvu mpishe) ya karimanzila anacheza mpaka lamtoka Jasho.Mambo Mambo ya RFA
Jasho jembamba limeotoka MKULU na kuamua kuwaita WalomtanguliaRFA( wafomooolee Mwenye Nguvu mpishe) ya karimanzila anacheza mpaka lamtoka Jasho.
Waliomtangulia wote siwafagilii hata kidogo, wameshindwa kuitoa Tz katika uliokithiri umaskini.Jasho jembamba limeotoka MKULU na kuamua kuwaita Walomtangulia
Umasikini utatilewa na wa Tz wenyeweWaliomtangulia wote siwafagilii hata kidogo, wameshindwa kuitoa Tz katika uliokithiri umaskini.
Wenyewe baadhi ya waTz hawajui kwanini tu maskini.Umasikini utatilewa na wa Tz wenyewe