bbc
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 3,836
- 4,152
Kulikoni Arusha baridi kuwa kali namna hii!Bwana mkubwa umeadimika sana, kulikoni?
Kulikoni Arusha baridi kuwa kali namna hii!Bwana mkubwa umeadimika sana, kulikoni?
Hii inaashiria kua watu wazaliana kwa wingiKulikoni Arusha baridi kuwa kali namna hii!
Wingi wa makamasi sio ukubwa wa puaHii inaashiria kua watu wazaliana kwa wingi
Pua ni kiungo kwa ajili ya harufuWingi wa makamasi sio ukubwa wa pua
Harufu ya mdomo wa Avatar yako inanuka mno.Pua ni kiungo kwa ajili ya harufu
Mno cha ajabu ni kipi ikiwa ndivyo ilivyoumbwa!Harufu ya mdomo wa Avatar yako inanuka mno.
Ilivyoumbwa na mapengo kiasi hicho, siwezi kuamini kirahisi hivyoMno cha ajabu ni kipi ikiwa ndivyo ilivyoumbwa!
Hapa ndo kwanza mshindi ws mwisho anaanza kutafutwaKirahisi hvyo siwezi kuamini kama tumefikia hapa
Amepotea wapi wakati nipo hapakutafutwa kwani amepotea
Mrefu wa kwenye kitabu cha "Adili na nduguze"hapa utasepa muda si mrefu
Nduguze sisonje nao hivi wanaisoma nambaMrefu wa kwenye kitabu cha "Adili na nduguze"
namba za kirumi?Nduguze sisonje nao hivi wanaisoma namba
Kirumi sikijui zaidi ya kujua kuandika namba zakenamba za kirumi?
Comments nyingi zinalenga maisha ya mwanadamuShida gani inayokusababisha usi like comments?
Mwanadamu ni wingi au umoja?Comments nyingi zinalenga maisha ya mwanadamu
Umoja ni ushindiMwanadamu ni wingi au umoja?