mchezo gani ambao hauna mshindi; hili ni kinikiaMwanadamu wewe una kiuka utaratibu wa mchezo
mchezo gani ambao hauna mshindi; hili ni kinikiaMwanadamu wewe una kiuka utaratibu wa mchezo
Kinikia limegeuka kuwa mapini piamchezo gani ambao hauna mshindi; hili ni kinikia
Piano ni aina ya Ala za MzikiKinikia limegeuka kuwa mapini pia
Mziki asili yake niniPiano ni aina ya Ala za Mziki
nini asili ya mziki kiukweli? maana hata makanisani unapigwa, bar unapigwa, msikitini unapigwa, makaburini unapigwaMziki asili yake nini
Unapigwa hadi wapi? Umeniacha hoi kwa kwelinini asili ya mziki kiukweli? maana hata makanisani unapigwa, bar unapigwa, msikitini unapigwa, makaburini unapigwa

Unapigwa hadi wapi? Umeniacha hoi kwa kweli![]()
![]()
![]()
Hata mimi nimeachwa hoiTumechoka na watu wasiojulikanaHoi ndiyo habari ya town grisi imepanda bei na bado mtanyooka tu
Wasiojulikana wapo Tz tuTumechoka na watu wasiojulikana
Tunasubiri 2020 kwa hamu sanaWasiojulikana wapo Tz tu
Sana Sana sipendi siasa mwenzioTunasubiri 2020 kwa hamu sana
Mwenzio napenda kulaSana Sana sipendi siasa mwenzio
kula ni kula ubaya kukomba mbogaMwenzio napenda kula
Mboga za majani ni nzuri kwa afyakula ni kula ubaya kukomba mboga
Afya ni uzima wa mtuMboga za majani ni nzuri kwa afya
Mtu kwenye akili timamu hawezi kujaribu kutoa uhai wa mwenzake bila sababu za msingi.Afya ni uzima wa mtu
Msingi wa mafanikio ni kujituma pekeeMtu kwenye akili timamu hawezi kujaribu kutoa uhai wa mwenzake bila sababu za msingi.
kujituma pekee bila kutumia akili huwezi kufika popote kimaisha.Msingi wa mafanikio ni kujituma pekee
Kimaisha Ili ufanikiwe ni jitihada zako chiefkujituma pekee bila kutumia akili huwezi kufika popote kimaisha.