Ednatha
JF-Expert Member
- Oct 12, 2012
- 489
- 666
Nyeusi sio tamu, kitu mirinda orangeMchezo ni mtamu sana kama mirinda nyeusi
Nyeusi sio tamu, kitu mirinda orangeMchezo ni mtamu sana kama mirinda nyeusi
Mirinda orange sio tamu kama fursanaNyeusi sio tamu, kitu mirinda orange
Fursana siipendiMirinda orange sio tamu kama fursana
Orange ni neno la lugha ya kiingerezaNyeusi sio tamu, kitu mirinda orange
Kingereza ni lugha ya kikoloniOrange ni neno la lugha ya kiingereza
Kikoloni ni mfumo wa unyonyajiKingereza ni lugha ya kikoloni
Unyonyaji anao kila mtu, mkuu kwani wewe hukunyonya ziwa la mama? Ndio unyonyaji wenyewe huoKikoloni ni mfumo wa unyonyaji
Huo ni tofauti na wa kiutawalaUnyonyaji anao kila mtu, mkuu kwani wewe hukunyonya ziwa la mama? Ndio unyonyaji wenyewe huo
Kiutawala ukoje?Huo ni tofauti na wa kiutawala
Ukoje ww mbona mbishiKiutawala ukoje?
Mbishi, wala sijabisha chochoteUkoje ww mbona mbishi
Chochote kinaweza kutokeaMbishi, wala sijabisha chochote
Kutokea kutoelewana humu kisa kila mmoja aataka awe mshindiChochote kinaweza kutokea
Mshindi ni mimiKutokea kutoelewana humu kisa kila mmoja aataka awe mshindi
Mimi nimekuambia ujePM nikuachie ushindi wewe hautakiMshindi ni mimi
Hutaki wewe kujaMimi nimekuambia ujePM nikuachie ushindi wewe hautaki
Kuja kwako kwenye PM yangu sio tabu, tabu ni mimi kuja kwenye PM yako maana naweza kulipuliwaHutaki wewe kuja
KulipuliwaKuja kwako kwenye PM yangu sio tabu, tabu ni mimi kuja kwenye PM yako maana naweza kulipuliwa
na nani?KaribuKuja nitakuja na Mimi pia