bbc
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 3,841
- 4,145
Nao wepi, emmyta hujatulia wewe, muhenga tangu lini akasifiwa!Waliokusifia muhenga bbc wako wapi na mimi niungane nao.
Nao wepi, emmyta hujatulia wewe, muhenga tangu lini akasifiwa!Waliokusifia muhenga bbc wako wapi na mimi niungane nao.
Akasifiwa kwa sababu ya sifa zake. Lazima nikusifu muhenga.Nao wepi, emmyta hujatulia wewe, muhenga tangu lini akasifiwa!
Muhenga ni mtu aliyeishi miaka mingi na kula kumvi nyingi?Akasifiwa kwa sababu ya sifa zake. Lazima nikusifu muhenga.
Nyingi ya sifa hizo ninazoMuhenga ni mtu aliyeishi miaka mingi na kula kumvi nyingi?
Ninazo pesa zako njoo zichukueNyingi ya sifa hizo ninazo
Sote tuungane kwapamoja tukemeee ufisadi na rushwa
Zichukue wapi? Pamoja na uhenga wangu pesa ya chakula hainipigi chenga, Alhamdulillah!Ninazo pesa zako njoo zichukue
Alhamdulillah! Ni jambo la kunshukuru Mungu kwa kutujalia afya njema siku ya leoZichukue wapi? Pamoja na uhenga wangu pesa ya chakula hainipigi chenga, Alhamdulillah!
Leo nisiku ya furaha atunabudii kucheka na kusherekeaAlhamdulillah! Ni jambo la kunshukuru Mungu kwa kutujalia afya njema siku ya leo
Kusherehekea ni jambo jema piaLeo nisiku ya furaha atunabudii kucheka na kusherekea
Kabisa ni neno lakihenga lenye asili ya utimilifuPia kabisa
Utimilifu ni wake muumba wa mbingu na nchiKabisa ni neno lakihenga lenye asili ya utimilifu
Nchi yangu Tanzania naipenda sana mbali na ugumu wa maisha ninaopitia kwa miaka hii.Utimilifu ni wake muumba wa mbingu na nchi
Hii miaka kuna mambo mengi yamebadilikaNchi yangu Tanzania naipenda sana mbali na ugumu wa maisha ninaopitia kwa miaka hii.
Yamebadilika kweli wala sio uongo.
Uongo humu JF haufai, badala ya kujenga utakuwa unabomoa!Yamebadilika kweli wala sio uongo.
Unabomoa na wajenzi hawapoUongo humu JF haufai, badala ya kujenga utakuwa unabomoa!
Hawapo wote humu, nitachati na nanii?Unabomoa na wajenzi hawapo
Nanii kwanza yaani waite kwanza utawapata tu.Hawapo wote humu, nitachati na nanii?