Kwangu hata haielezeki, nimetekwa mzima mzimaJamii forums ni mtandao wa kijamii ulio namba moja kwangu
Mzima mzima umetekwa hadi usiku wa manane unaperuzi jf pasi kusinziaKwangu hata haielezeki, nimetekwa mzima mzima
Kusinzia tena [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hiyo ni historiaMzima mzima umetekwa hadi usiku wa manane unaperuzi jf pasi kusinzia
Historia yako ya kuwahi kulala tangu ujiunge unaikumbuka kweliKusinzia tena [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hiyo ni historia
Kweli kabisa hata sikumbukiHistoria yako ya kuwahi kulala tangu ujiunge unaikumbuka kweli
Hapa hamna cha bure kama DECImawazo ni hauitaji kuweka pesa njoo uchukue pesa bofya hii link kisha jazaa yani sign up na utapokea dollar $25 hapo hapo kumbuka ni bure kabisa sasa ni wewe bonyeza hapa >>>>>>> BlackOption - binary options without investments!
jaribu uone kwanza mi nime ta mpunga wangu freshHapa hamna cha bure kama DECI
DECI ndio nini,Hapa hamna cha bure kama DECI
Zetu stori wengi wanazipenda
wanazipenda japo baadhi wanaziogopaZetu stori wengi wanazipenda
Wanaziogopa kwakuwa umri wao ni mdogo.wanazipenda japo baadhi wanaziogopa
Mdogo wangu ni hodari sana shuleni, hakubali kupitwa kirahisi darasani
darasani kwetu nilikua mmoja kati ya watu watukutuMdogo wangu ni hodari sana shuleni, hakubali kupitwa kirahisi darasani
Watukutu huwa wanafunzi wanaofanya vizuri sana darasanidarasani kwetu nilikua mmoja kati ya watu watukutu
wanaofanya vizuri sana darasani ni wale wanaojielewa na sio wanaosoma sanaWatukutu huwa wanafunzi wanaofanya vizuri sana darasani
Darasani nilikuwa nakula sana sahani moja na namba za viatu vyangu.Watukutu huwa wanafunzi wanaofanya vizuri sana darasani