vitu motomoto ambavyo vingine mpaka wakuumize ndo ujifunzeBalaa sana asee, mbaya zaidi wakushike sasa(wakuzuie) usifike kwenye kifunguo wewe, utajuta asee. Ila michezo mingi ya utotoni ilikuwa inatufunza vitu
Ujifunze michezo hatarishi kama kombolela
Ujifunze na uelewe vyema
nimeelewa ila natamani tungekua pamoja tuucheze sasa hivi. Mbona ungenikubari.Hapa nimeelewa
vyema uanze kushika halafu vibaya uviacheUjifunze na uelewe vyema
Ungenikubali mimi maana mimi ni mzuri kwenye mitama, pale unapoelekea kugusa mti.nimeelewa ila natamani tungekua pamoja tuucheze sasa hivi. Mbona ungenikubari.
Sent using Jamii Forums mobile app
mti unakuta upo mbali, hapo ndo utaisoma nambaUngenikubali mimi maana mimi ni mzuri kwenye mitama, pale unapoelekea kugusa mti.
mti ungejua, utadondoka kwako tu lazima, bsha ucbsheUngenikubali mimi maana mimi ni mzuri kwenye mitama, pale unapoelekea kugusa mti.
Mti kama upo mbali wafwaaaUngenikubali mimi maana mimi ni mzuri kwenye mitama, pale unapoelekea kugusa mti.
Namba yenyewe unakuta imefutika, hapo ni kuanzisha ugomvi wa kutoana damu, mpungue mchezo, yaishe.mti unakuta upo mbali, hapo ndo utaisoma namba
Sent From Ikulu-Magogoni street
yaishe mambo isijekuwa shari kamiliNamba yenyewe unakuta imefutika, hapo ni kuanzisha ugomvi wa kutoana damu, mpungue mchezo, yaishe.
Shali kamili ndo mwamuzi wa mwisho.
mwisho wa yote unaonaje tukiishia hapa kwenye hii threadShali kamili ndo mwamuzi wa mwisho.
Vinginevyo hakuna mshindisaini huwa inaruhusiwa kutiwa kwenye karatasi tu na sio vinginevyo
Sent using Jamii Forums mobile app