Wa mwisho ndiyo mshindi

Anayo mawazo kila binadamu,ushawahi kuusikia wimbo wa mawazo wa ladyjadee.
Ladyjaydee aliuimba ndio naukumbuka sana. "Tukikaa tukitembea tuna mawazo" hahaaa. Nimeshausikia sema kitambo sana
 
Ladyjaydee aliuimba ndio naukumbuka sana. "Tukikaa tukitembea tuna mawazo" hahaaa. Nimeshausikia sema kitambo sana
Sana Mimi pia nimeusikia..hahaha kamanda jide alitisha.

Unapenda aina gani ya muziki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…