Hapa ni sehemu ambapo kimtazamo tunaamini wote tuna akili zilizo timamu. Ila hao vivuruga ni kuwaacha tu kama yule mwenzao sijui kapotelea wapiWenyewe wanajifanya wanajua zaidi kuliko waJF wengine, habari za sijui Mfipa za nini hapa!
Jamaniiii....mpaka watia huruma! Sawa mimi nakupa wewe, ila wengine wakikataa itakuwa shida.Kombe lake nipeni hata mimi kwa niaba yake siku akija nitalirudisha jamani
Shida ni kuwa hawana huruma na mimiJamaniiii....mpaka watia huruma! Sawa mimi nakupa wewe, ila wengine wakikataa itakuwa shida.
Mimi nitajitahidi niwaombe walegeze uzi, ushindi uwe wakoShida ni kuwa hawana huruma na mimi
Wako wapi kwani mbona wanapita kimya kimyaMimi nitajitahidi niwaombe walegeze uzi, ushindi uwe wako
Kimya kimya ndivyo ushindi unavyozidi kuwa wako. Ila usinisahau na mimi.Wako wapi kwani mbona wanapita kimya kimya
Kimya kingi kina mshindoWako wapi kwani mbona wanapita kimya kimya
Mimi tena wala sitakusahau hata kidogoKimya kimya ndivyo ushindi unavyozidi kuwa wako. Ila usinisahau na mimi.
Hata kidogo kwa udogowe, mimi huwa nashukuru pia.Mimi tena wala sitakusahau hata kidogo
Sana sana naona waanza wapendelea ke, vipi kuhusu Mwifwa, mtebetini, kelvin marcus, mwana mpotevu Daby, &co!
Daderi ukimaanisha nini God Heals niambie basiTayari naona maono ya kuwa atakubali. Basi tuanze kusherehekea, ushindi ni wako daderi
Weekend ya Leo tamuuuSana sana napenda kukaa nyumbani siku za weekend