Kando ya barabara kuna mitaro ambayo naiheshimu baada ya kutumbukia siku mojaKujivunia inakubidi hasa ukiwa mwafrika mzalendo,
Na mwenye mengi mapendo,
Mabaya yakemee yasije nuka uvundo,
Afrika ndo mama wengine tuweke kando.
Moja kwa moja niende kwenye dhumuni la kukupa pole kwa yaliyokupata pembezoni mwa barabara, siku nyingie uwe makiniKando ya barabara kuna mitaro ambayo naiheshimu baada ya kutumbukia siku moja
"Uwe makini kwa kila msg unayotuma" huu utakuja kuwa usia baada ya miaka 50 ijayoMoja kwa moja niende kwenye dhumuni la kukupa pole kwa yaliyokupata pembezoni mwa barabara, siku nyingie uwe makini
Ijayo au inayofuata baada ya sasa"Uwe makini kwa kila msg unayotuma" huu utakuja kuwa usia baada ya miaka 50 ijayo
Sio watu wazuri kwa kuwa hawapendi ujinga na kama ukifanya ujinga ndio utajua kwa nini sio wazurisiku ukifika uwe makini wapemba sio watu wazuri
Wazuri wengi wanaringaSio watu wazuri kwa kuwa hawapendi ujinga na kama ukifanya ujinga ndio utajua kwa nini sio wazuri
Wanaringa sana watu wenye mamlaka fulani na kujiona wao ndio Miungu mtu.Wazuri wengi wanaringa
Mtu mmoja humu sijamuona tangu janaWanaringa sana watu wenye mamlaka fulani na kujiona wao ndio Miungu mtu.
Jana!? Hujamuona nani humu?Mtu mmoja humu sijamuona tangu jana
Humu sijamuona thatsitJana!? Hujamuona nani humu?
thatsit ukuje huku unaitwa na emmyta.Humu sijamuona thatsit
Emmyta amemkumbuka kwelithatsit ukuje huku unaitwa na emmyta.
Kweli nimeaamini watu wanapendana sana, akikosekana mmoja kwa muda fulani lazima ujue fulani hayupoEmmyta amemkumbuka kweli
Kweli kila mtu na nduguze thatsit tafadhali popote ulipo tunakuhitajiEmmyta amemkumbuka kweli
Sijui ana shida gani au ndio sikukuu mana tangu jana tuwasiliane hadi leo sijampata tenaKweli kila mtu na nduguze thatsit tafadhali popote ulipo tunakuhitaji
"Sijampata tena aliyenijali kama wewe" Kelvin aliongea kwa masononeko akimwambia Angel aliyeonekana kutojali na akiwa bize na threads za JFSijui ana shida gani au ndio sikukuu mana tangu jana tuwasiliane hadi leo sijampata tena
JF-expert member ni mimi"Sijampata tena aliyenijali kama wewe" Kelvin aliongea kwa masononeko akimwambia Angel aliyeonekana kutojali na akiwa bize na threads za JF
Ni mimi tu ambaye siuliziwi na yeyote endapo sionekani humuJF-expert member ni mimi
Humu wote familia moja tuulizane masahibu yaliyowakuta wenzetu pindi wasipoonekanaNi mimi tu ambaye siuliziwi na yeyote endapo sionekani humu