RAGNAR LOTH
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 698
- 1,613
Peke yake? Hahaa naona anajisikia aibu huko alipo anajuta kwa alichokifanya
Salama yake awache akili za hovyo la sivyo atajiona mwehu ndani ya jf nzimaAlichokifanya hakitamuacha salama
Mawazo ni chanzo kikubwa sana cha akili iliyolala
Iliyolala usingizi wa kutojitambua ni hatari sana, inaweza kukusababishia magonjwa au mtindio wa akiliMawazo ni chanzo kikubwa sana cha akili iliyolala
Akili ni nywele ila wengine hawana wana viparaIliyolala usingizi wa kutojitambua ni hatari sana, inaweza kukusababishia magonjwa au mtindio wa akili
Vipara eti vinawatoka watu wanaosoma sana hadi degree nyingiAkili ni nywele ila wengine hawana wana vipara
Nyingi zinakuwa karibu karibu mpaka uzitenganisheVipara eti vinawatoka watu wanaosoma sana hadi degree nyingi
Uzitenganishe vizuri zile bidhaa tulizonunua kabla tunasubiri Noah ziletwe tuje tuzisafirisheNyingi zinakuwa karibu karibu mpaka uzitenganishe
Tuzisafirishe bwana tukikaa kusubiri noah mpaka ije zitakuwa zimeshaisha muda wa matumiziUzitenganishe vizuri zile bidhaa tulizonunua kabla tunasubiri Noah ziletwe tuje tuzisafirishe
Matumizi yetu yanalingana na kipato cha kila siku, hayo ndio maisha bora na yenye furaha na amaniTuzisafirishe bwana tukikaa kusubiri noah mpaka ije zitakuwa zimeshaisha muda wa matumizi
Amani ipi wakati Watanzania wengine wanauawa Kibiti?Matumizi yetu yanalingana na kipato cha kila siku, hayo ndio maisha bora na yenye furaha na amani
Amani ni kitu cha msingi maana huleta furahaMatumizi yetu yanalingana na kipato cha kila siku, hayo ndio maisha bora na yenye furaha na amani
Furaha yangu ni kuona amani imetawala humuAmani ni kitu cha msingi maana huleta furaha
Furaha iliyoje kuona tupo pamoja na amani tele kwenye uzi wetuAmani ni kitu cha msingi maana huleta furaha
Humu hapatoshi leo utanieleza ulikuwa wapi...Furaha yangu ni kuona amani imetawala humu
Uzi wetu mtamu wenye wivu wajinyongeFuraha iliyoje kuona tupo pamoja na amani tele kwenye uzi wetu
Wajinyonge tu kwa kweli mana kuna wengine hadi wanafikia hatua ya kuongea peke yao.Uzi wetu mtamu wenye wivu wajinyonge
Yameshinda lini mbona sina habari..Yao yameshinda