Mkuu hilo ni jambo jema sana, endapo tukishirikiana ipasavyo kwa juhudi zote, mafanikio yake itakuwa ni historia katika ulimwengu huu wa kiutandawaziKupaona au kutopaona hakukusaidii chochote Mkuu
Kiutandawazi na kidigitali kumeleta purukushaniMkuu hilo ni jambo jema sana, endapo tukishirikiana ipasavyo kwa juhudi zote, mafanikio yake itakuwa ni historia katika ulimwengu huu wa kiutandawazi
Purukushani hasa kwa wale wasiokuwa na staha na huu mchezo na kuleta mizahaKiutandawazi na kidigitali kumeleta purukushani
Tulivyojiweka kumpuuza ndio dawa yake tosha mpaka amebaki anaongea peke yake.Mizaha husababishwa na sisi wenyewe tulivyojiweka
Ke mpo wengi kwny uzi huuTulivyojiweka kumpuuza ndio dawa yake tosha mpaka amebaki anaongea peke yake.
Huu uzi mkuu haujaainisha kwamba ke wawe wangapi na me wawe wangapi hivyo wacha tu maisha yaendelee.Ke mpo wengi kwny uzi huu
Yaendelee kwa amani na utulivu, hiyo ndio mila na desturi zetu watanzania wote.Huu uzi mkuu haujaainisha kwamba ke wawe wangapi na me wawe wangapi hivyo wacha tu maisha yaendelee.
Wote tuna amani moyoniYaendelee kwa amani na utulivu, hiyo ndio mila na desturi zetu watanzania wote.
Moyoni nimefarajika kumpuuzia juhaWote tuna amani moyoni
**** ila ni ujinga saa nyingine aiseeMoyoni nimefarajika kumpuuzia ****
Aisee mrembo una nyodo**** ila ni ujinga saa nyingine aisee
Nyodo? Nizitowe wapi mimi mana hata sijui zinapopatikana.Aisee mrembo una nyodo
Zinapopatikana ni kwenye makundi ya shari shariNyodo? Nizitowe wapi mimi mana hata sijui zinapopatikana.
Shari na mimi nivitu viwili tofautiZinapopatikana ni kwenye makundi ya shari shari