Wa mwisho ndiyo mshindi

Wa mwisho ndiyo mshindi

Kazi tu haina nafasi tena.. Tunahitaji slogan mpya
Mpya mpya za leo ni kwamba, nimepokea malalamiko kuhusu matumizi ya kithungu kwenye huu mtanange pale jana usiku wakati napambaa na mzado.
Naomba mniwie radhi kwa jambo hilo, tuendelee kama kawaida kupashana sentensi mbalimbali kwa kutumia utashi wetu tulionao. Hii inatujenga akili kuwa imara kwa kufikiri misamiati migumu ambayo itakupelekea kuwa mshindi.
 
Mshindi hajapatikana bado.

Usijali mwifwa hakuna shida.
 
Mpya mpya za leo ni kwamba, nimepokea malalamiko kuhusu matumizi ya kithungu kwenye huu mtanange pale jana usiku wakati napambaa na mzado.
Naomba mniwie radhi kwa jambo hilo, tuendelee kama kawaida kupashana sentensi mbalimbali kwa kutumia utashi wetu tulionao. Hii inatujenga akili kuwa imara kwa kufikiri misamiati migumu ambayo itakupelekea kuwa mshindi.
Mshindi alipatikana Jana mwifwa, umeamkaje lkn
 
Njaa kali sana iliyojulikana kama FUNGA FUNGA iliwahi kutokea miaka ya 1974, njaa kama hiyo haikuwahi kumuacha mtu salama
Salama shangaziangu aliwahi nisimulia kuhusu hii njaa, anasema waliletewa chakula cha msaada na serikali kipindi hicho mwalmu.JK ndio rais
 
Rais ambaye anasifika katika siasa za Ujamaa na ndio ambaye ni miongoni wa watu waliowahi kutoa Phyllosophical ideas hapa barani Afrika
 
Back
Top Bottom